ChezaBora
Casino Kubeti Mtandaoni Kindege (Aviator) Kindege Mwizi Snorkel Spin & Win Mapitio ya Kasino
Ligi Kuu Bara Power Rankings
← TAARIFA ZOTE← ALL PRESS RELEASES

TAARIFA · 19 OKTOBA 2026PRESS RELEASE · 19 OCTOBER 2026

Klabu gani ndiyo bora zaidi Tanzania? Mfumo mpya wa bure unaonyesha viwango vya ubora wa kila klabu ya Ligi Kuu Bara baada ya kila mechiWho’s really the best team in Tanzania? New free tool ranks every Ligi Kuu Bara club, match by match

ChezaBora yazindua mfumo wa Viwango vya Ubora wa Timu za Ligi Kuu Bara, unaopima ubora wa klabu na kukadiria matokeo ya msimu wa 2026/27ChezaBora launches the Ligi Kuu Bara Power Rankings, a free ratings and predictions tool for the 2026/27 season

Dar es Salaam, 19 Oktoba 2026 – Msimamo wa ligi unaonyesha timu ilipo kwenye jedwali, lakini si lazima uonyeshe kiwango chake halisi cha uchezaji. Mfumo mpya wa bure kutoka ChezaBora unalenga kuwasaidia mashabiki wa soka nchini Tanzania kutathmini ubora wa timu zao kwa kuangalia zaidi ya nafasi zao kwenye jedwali.

Mfumo huu, unaoitwa Ligi Kuu Bara Power Rankings, huzipa klabu zote 16 za Ligi Kuu ya Tanzania (NBC Premier League) alama za ubora zinazobadilika baada ya kila mzunguko wa mechi. Alama za timu huongezeka zinaposhinda wapinzani wenye nguvu na hupoteza alama zinapofanya vibaya dhidi ya timu ambazo zinaonekana kuwa dhaifu zaidi.

Kwa kutumia alama hizo za ubora, mfumo huchezesha msimu uliobaki kwa njia ya makadirio mara 10,000 ili kuonyesha uwezekano wa kila klabu kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara au kushuka daraja.

Mashabiki wanaweza kutumia mfumo huu bure kupitia link hii: TPL Power Rankings

Jinsi mfumo unavyofanya kazi

Mfumo huu hutumia kanuni maalumu ya Elo kukokotoa na kupanga viwango vya ubora wa timu. Mfumo wa Elo ulianza kutumika katika mchezo wa chess na baadaye ukatumika pia kupima viwango vya timu za soka la kimataifa.

Katika Ligi Kuu Bara, kila klabu ilianza na alama 1,500 katika msimu wa 2022/23, ambao ni msimu wa kwanza uliojumuishwa kwenye takwimu za mfumo huu. Tangu wakati huo, alama za kila klabu zimekuwa zikihesabiwa kwa kuzingatia matokeo yote ya ligi. Maelezo kamili ya jinsi mfumo huu unavyofanya kazi yanapatikana hapa: Method

Mashabiki wanaweza kufanya nini?

  • Kuangalia alama za sasa zinazoonyesha ubora wa klabu zote 16 za Ligi Kuu Bara, mabadiliko ya alama za kila klabu na mwenendo wake katika mechi za hivi karibuni.
  • Kuangalia asilimia za uwezekano wa ushindi wa timu ya nyumbani, sare au ushindi wa timu ya ugenini katika kila mechi ijayo.
  • Kufuatilia nafasi za kila klabu kutwaa ubingwa au kushuka daraja, huku makadirio yakisasishwa baada ya kila siku ya mechi.
  • Kuangalia matokeo ya kushangaza zaidi yaliyotokea katika msimu huu.
  • Kutembelea ukurasa maalumu wa kila klabu.
  • Kuongeza bure vidirisha vya taarifa za ligi au klabu kwenye tovuti au blogu zao. Vidirisha hivyo huonyesha taarifa zinazosasishwa moja kwa moja.

Mfumo huu hauna odds za kampuni za kubeti, link ya kuweka dau wala matangazo ya kubeti.

Juma Mwakalinga wa ChezaBora alisema: “Kila shabiki wa Tanzania ana maoni yake kuhusu timu yenye nguvu zaidi nchini, lakini si kila mara msimamo wa ligi humaliza mjadala huo. Tumekuja na mfumo wa Viwango vya Ubora wa Timu ili kuwapa mashabiki njia iliyo wazi ya kutathmini kiwango cha timu katika msimu mzima, badala ya kuangalia matokeo ya mechi pekee.

“Tulisubiri mechi za mwanzo wa msimu zichezwe ili mfumo upate muda wa kutoa viwango sahihi kabla ya kuzindua. Viwango vya timu, makadirio ya matokeo na taarifa zinahusu soka pekee. Hili ni jukwaa lisilohusiana kabisa na kubeti.”

Matumizi kwa vyombo vya habari

Mtu yeyote anaweza kutumia viwango na taarifa hizi bure katika maandalizi ya taarifa za kabla ya mechi, muhtasari wa matokeo ya kila wiki na uchambuzi wa soka. Vidirisha vinavyoweza kuunganishwa kwenye tovuti nyingine husasishwa moja kwa moja na matoleo maalumu yanayokidhi mahitaji ya mtumiaji yanaweza kuombwa.

– MWISHO –

Kuhusu ChezaBora

ChezaBora hulinganisha kasino za mtandaoni nchini Tanzania na tovuti za kubeti zilizopewa leseni na Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania. ChezaBora haipokei dau.

DAR ES SALAAM, 19 October 2026 – The league table shows where a club stands. It doesn’t always show how well it’s actually playing. A new free tool from ChezaBora aims to fill that gap for Tanzanian football.

The Ligi Kuu Bara Power Rankings give all 16 clubs in the Tanzanian Premier League (NBC Premier League) a strength rating that moves after every matchday. Teams climb for beating strong opponents and drop for slipping up against weaker ones. From those ratings, the tool plays the rest of the season 10,000 times to forecast each club’s chances of winning the title or being relegated.

Fans can try it now at TPL Power Rankings

How it works

Ratings come from a custom Elo model, the family of rating systems originally used to rank chess players and later international football teams. Every Ligi Kuu Bara club started at 1,500 in 2022/23, the first season in the data, and ratings have been built up from every league result since. The full methodology is published at Method

What fans can do with it:

  • See an up-to-date strength rating for all 16 Ligi Kuu Bara clubs, with each club’s rating change and recent form
  • Check home win, draw, and away win percentages for every upcoming match
  • Follow each club’s title and relegation chances, updated after every matchday
  • Look back at the season’s biggest shocks so far
  • Explore a dedicated page for every club
  • Add free league or club widgets to their own website or blog

The tool contains no bookmaker odds, betting links or gambling promotions.

Juma Mwakalinga at ChezaBora said: “Every Tanzanian fan has an opinion on who the strongest side in the country is, and the table doesn’t always settle the argument. We built the Power Rankings to give fans a fun, fair, transparent way to judge form over a whole season, not just the last result.

“We waited until the opening matchdays had been played so the model could settle before we launched. The rankings, forecasts and widgets are all about the football - it’s a totally gambling-free portal.”

Open for media use

Anyone can use the rankings and forecasts freely in previews, weekly round-ups and analysis. The embeddable widgets update automatically, and tailored versions are available on request.

–ENDS–

About ChezaBora

We compare online casinos and betting sites in Tanzania licensed by the Tanzania Gambling Board. We do not take bets ourselves.